Government Emblem

The United Republic of Tanzania

Chuo cha Ustawi wa Jamii

Institute Logo

Menejimenti – ISW yampa tuzo maalum mwanafunzi Rehema Said

19 August 2026
Menejimenti – ISW yampa tuzo maalum mwanafunzi Rehema Said
Menejimenti ya Chuo cha Stawi wa Jamii imempa tuzo maalum ya kutambua jitihada na Kazi kubwa anayofanya mwanafunzi wetu Rehema Said kuipeperusha bendera ya nchi na ISW katika michuano ya kitaifa na kimataifa ya mchezo wa tennis (Wheelchair) ambapo tangu mwaka 2020 ameibuka mshindi wa tuzo mbali mbali Afrika na Duniani. Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa jamii Dkt. Joyce Nyoni amemkabithi tuzo hiyo Mei 15, 2026 katika hafla ya kuwapongeza watumishi wa ISW waliofanya vizuri mwaka 2025.
Institute Logo