Wanawake ISW washiriki kilele cha Siku ya Kimataifa ya Wanawake mkoani Dar es Salaam
19 March 2026
Watumishi Wanawake wa Chuo cha Ustawi wa Jamii wameshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya kilele cha siku ya kimataifa ya wanawake tarehe 8 Machi, 2026, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. John Chalamila katika viwanja vya Barafu Mburahati, mkoani Dar es Salaam.